Hofu imewapata waumini wa KKKT Kijitonyama

mpaka mr.dhaifu aondoke madarakani ndio nchi itatulia,haya ndio matunda ya kampeni za udini zinazoendeshwa na ccm+cuf na mbado zitatugharimu sana.
 
mpaka mr.dhaifu aondoke madarakani ndio nchi itatulia,haya ndio matunda ya kampeni za udini zinazoendeshwa na ccm+cuf na mbado zitatugharimu sana.


Mkuu ukweli ni kwamba tunasumbuliwa na mafisadi, wauza unga na walafi wa madaraka ndani ya ccm.

Mwenyekiti wa ccm na chama chake kwa sasa wametingwa na hawana pakutokea kila njia wanayojaribu inakwama

Karata pekee ya kunusuru uhai wao, ufisadi wao, biashara zao za madawa ya kulevya nk nikutuchonganisha.

Wanakitumia ccm vizuri wakiwa nyuma ya rangi ya kijan na nembo za jembe na nyundo kuhakikisha wanaikoroga Tanzania.

Hivyo kwa mamlaka waliokuwa nayo wanatumia fedha kupandikiza chuki kati ya waislam na wakristu ili watu

wasahau uovu wa ccm, waanze kuwindana misikitini na makanisani na kuiacha ccm na wezi wa raslimali zetu

wakitesa kwa raha zao.

Adui mkubwa kwa watanzania na amani ya Tanzania ni ccm,
iking'oka madarakani amani itarejea na heshima

yetu kama watanzania itarejea tena duniani kote bila kujali itikadi au tofauti ya dini kati yetu.
 
Lilikua ni Bomu ila Mungu kasaidia police wamepata taarifa mapema na kulitegua

kilikuwa ni kifaa kitumikacho uwanja wa ndege ktk kupima masuala ya hali ya hewa, polisi wamethibitisha kuwa sio bom.

Ni wasiwasi tu wa waamini, si unajua tena ukiwa na maradhi moyoni.
 
Una ushahidi?

Au wewe ndo uliweka?

ni kweli kabisa halikua bom kama waamini walivyodhani bali ni kifaa kitumikacho uwanja wa ndege ktk kupima hali ya hewa, hilo lilithibitishwa na polisi.
 
ni kweli kabisa halikua bom kama waamini walivyodhani bali ni kifaa kitumikacho uwanja wa ndege ktk kupima hali ya hewa, hilo lilithibitishwa na polisi.
Kifaa hicho huitwa RADISONDE kwa jina la Kitaalamu. Huwa kinatumwa juu angani kupima Upper Air na huweza kuanguka popote.
The radiosonde is a balloon-borne instrument platform with radio transmitting capabilities. The radiosonde contains instruments capable of making direct in-situ .The radiosonde package is carried aloft by a spherically shaped balloon.measurements of air temperature, humidity and pressure with height, typically to altitudes of approximately 30 km.
An attached parachute returns the instrument package safely to the ground. Return mailing instructions are included in the instrument package. Those radiosondes that are found and returned can be refurbished for subsequent flights, saving a considerable amount of the cost of a new radiosonde. Poleni waumini kwa Hofu.

[h=3][/h]
 
Somo la jana ktk makanisa ya KKKT lilikuwa ni 'Jirani Zetu'
Tumeagizwa tuwapende jirani zetu, tumekatazwa kulipa baya kwa baya kwani kisasi ni juuu ya Mungu mwenyewe. Kikubwa wakristo tunatakiwa kuwaombea jirani zetu, na kuomba roho hii ya kishetani iondoke katika mioyo yao.
Ni wakati sasa wa makanisa kuunda zile kamati za ulinzi na usalama lakini pia kuwa na walinzi permanent katika kanisa. Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure ni jukumu letu wakristo kumuomba Mungu wetu kuyalinda makanisa yetu


Ni lazima wakristo wote wachukue nafasi ya kujilinda,wakipigwa nao wapige,jino kwa jino,
 
Mnazungumzia kama vile mna uhakika kuwa kile kibox ni bomu. Mbona mnawatia wananchi hofu isiyo ya lazsima?
mimi nimekiona kwenye tv kinafana sana na vile vitufe vinavyoninginizwa kwenye balloons zirushwazo na mamlaka ya hali ya hewa
 
Kwasababu ccm na CUF wanatumia dini kutuchonganisha

katika haya yanayoendelea hapa nchini kwa sasa,Mimi nayayaona tofauti sana hasa kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu.
conclusion nilofikia ni kwamba waislamu na wakristo wa Tanzania hawana UGOMVI ila ugomvi unapandikizwa hasa na SERILALI na ccm kwa manufaa ya ccm.

ccm wanajaribu karata yao ya kutugawa kwa misingi ya udini ili ile kanuni "divide & rule" ishinde.Ndio maana hata baada ya matukio mengi sana yayoonekana kama yana UDINI hakuna aliekamatwa kuhusika nayo maana wakubwa wanajua ndio mpango wao.

Kwa sababu sheikh Ponda anawazingua kwa kudai maslahi ya waislam, mara kwa mara amekuwa akikamatwa ili kutuzuga kuhusu mipango yao. mabomu yamepigwa, watu wameuawa lakini hakuna alikamatwa hadi sasa na viongozi wengi wa serikali huwa wepesi sana kutangulia kutuambia kuwa mlipuko flani hauna chokochoko za kidini katika wakati ambao sidhani hata kama polisi huwa wameshafika kuchunguza tukio husika.
Mipango ya CCm kubaki madarakani hivi sasa ni pamoja na kuwagawa wananchi ili wasiwe wamoja katika kuiangusha ccm. haya ni mawazo huru ya kwangu-fuatilia na wewe ujijuze.
 
Sio bomu.

ni andazi, kamwe sikuwahi kuona ugaidi ukinufaisha mtu, magaidi wote mwisho wao ni kifo cha aibu, wanaofanya hawa watambue kua hawatafaidika lolote kuondoa amani yetu, wao pia hawataishi kwa amani, kikubwa sana wanachofanya ni kuzidisha imani ya wahusika kwa muumba wao
 
Mimi ninavyojuwa makanisani ni tofauti na misikitini,wa makanisani wanajuwana,hawezi kuja wa kanisa jingine,kuja kufanya ibada kwenye kanisa jingine,huwa mnajuwana,Msikitini ndio kuna mwiingiliano,bila kujali watokea msikiti gani na wapi.Sasa inakuwaje mtu ambaye si muumini wa kanisa hilo,akaleta vitu vya hatari?Hebu jaribuni makanisani muweke kamati za ulinzi,mtagundua mengi yaliyojificha,kwa wenyewe kwa wenyewe.
then hujui. makanisani tunapokea yoyote. na kama utahudhuria ibada mwisho huwa tunatangaza kwa walio wageni kujitambulisha kutusalimu. Msikitini ndio mnajuana ndio maana hata yule askari kanzu alishtukiwa wakati kavaa kanzu na kofia.
Ni tabia chafu kurudisha tuhuma kwa mhanga, ni sawa na ule upuuzi wa kutafuta sababu ya mtu kubakwa! mnatuzidishia machungu. wakristo hawana tamaduni hizo za migogoro ya mabomu (iraq,libya,syria) wala bakora na mapinduzi (tanzania) katika nyumba za ibada!
 
Back
Top Bottom