Hofu Imewajaa Waandamizi wa Serikali Arusha.

Mbwiga_Plus

Senior Member
Jan 5, 2011
163
42
Jana 19/07/2013 huko mkoani Arusha kulikuwa na sherehe za kuwaaga na kuwakaribisha watendaji mbalimbali wa ngazi ya Wilaya, ikiwa ni pamoja na kumuaga aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Eng. Mushi ambaye amehamishiwa Wilaya ya Ilala, na hapohapo kumkaribisha Mkuu wa Wilaya mpya, John Mongella.

Nilibahatika kupata mwaliko ambapo majira ya saa 2.00 usiku shamrashamra zilianza kuchanganya taratibu.
Kitu kikubwa nilichostukia mwanzo n kwamba walikuwepo Waandamizi wote toka Mkoani na Wilayani, lakini Mbunge wa Arusha mjini hakualikwa, na badala yake aliyechukua nafasi ya kuitwa Mbunge ni Mama Chitanda ambaye ni Katibu wa ccm wa Mkoa na pia Mbunge wa huko Tanga nadhani.
Basi ikawa kila wakitaja Mh.Mbunge nilikuwa nastuka nikijua kamanda Lema angeonekana, lakini wapi bana!

Kitu cha Msingi na Shocking ambacho nilikigundua katika Speech za Waandamizi wote ni kwamba Wanauhanya sana UONGOZI WA ARUSHA MJINI kwa maana kuwa Eneo ka Arusha mjini ni Changamoto kubwa sana machoni pa Watendaji hasa ukizingatia kuwa wanaitumikia ccm, na kuwa Arusha iko chini ya mbunge wa Chadema.

Speech zao zote ziliashiria kuwa wanahofia hali tete ya Uwepo wa Chadema, na kuonyesha wazi kuwa wametawaliwa na woga kama vifaranga walio kwenye himaya ya mwewe!

Mama Sipora ambaya ni City Director ndiye aliweka wazi kabisa kuwa hakutarajia kabisa kuwa angefika siku ya jana akiwa bado Mkurugenzi kutokana na changamoto za Arusha.
Mongela naye alimwambia Aliyekuwa DC mtangulizi wake., "bila shaka ulisikia kasheshe tuliyokumbana nayo mwezi uliopita"...akimaanisha Mauaji waliyofanya Polisi..."bado tuna changamoto nyingi"..alimalizia.

Kwa mtazamo wangu, ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Cdm imeleta changamoto kubwa sn Arusha na Tanzania kwa ujumla, naamini kuwa mirija mingi iliyokuwa inanyonya mapato ya Jiji la Arusha imezibwa na makamanda.
Nilifurahia sana kuwepo pale ndani na kujionea Live ukosefu wa amani kwa waandamizi wa serikali, kiasi cha kutowaita Wapinzani kwny sherehe hiyo, japokuwa mimi binafsi niliwawakilisha.

Cheers!-
 
Ina maana Chadema wanatishia maisha ya watu au?

Hata iweje, magogoni mtakuwa mnakwenda kwenye mnuso tu
 
Mkuu Lukosi,

ngoja nikameze dawa zangu kwanza nitarudi baadae...!!

Alafu simpendi Mh. Lema maana "alichonitenda huko nyuma"...... Hapa London!!
 
Safi kamanda ila siku nyingine jitahidi urekodi hata na kamchina wengine tunatunza kumbukumbu kwa ajiri ya wanetu ...wajue mkoloni mweusi dk za mwisho alivyoanza kutapatapa ili zije zitumike hizo picha kwenye vitabu vya historia pia na magazeti ya baadae kwenye kurasa za "leo katika historia"
 
moto wa chadema kueleka T 2015 CDM unaunguza sana na ni hatari kwa afya ya magamba. kukusahihisha siyo kualikwa wapinzani ,ni kualikwa kwa mbunge halali aliyechaguliwa na wanaarusha kwa kura halali kuwawakilisha kutokualikwa kwenye shughuli kama hiyo. mkuu kamanda Lema alipata mwaliko lakini alikuwa busy na M4C akakosa muda wa kwenda kujamiiana(kusocialise)?
 
Sasa hivi hao nyang'au hawana amani kabisa hata vivuli vyao watakuwa wanavikimbia.
 
Mkuu Lukosi,

ngoja nikameze dawa zangu kwanza nitarudi baadae...!!

Alafu simpendi Mh. Lema maana "alichonitenda huko nyuma"...... Hapa London!![/QUOT
Je mji wa London umekusaidia nini kifikra? Kwanini umehama Tz au unafanya nini huko London?
 
Mkuu Lukosi,
ngoja nikameze dawa zangu kwanza nitarudi baadae!!
Alafu simpendi Mh. Lema maana "alichonitenda huko nyuma

. . .Dawa za kuongeza siku unazotumia una uhakika siyo za kiwanda cha MA------ cha hapa ARUSHA?
 
Haaa!! Na wewe!!! Mkuu nimesoma comments za members hapo juu nikacheka sana, nikajua hawajanielewa, ila sasa na wewe...!! Mkuu mi ni mkata miwa tu hata London naisoma tu jf kupitia kwa Lukosi!!

Naogopa Ban mkuu, nisome vizuri mtanielewa!!
 
Mkuu Lukosi,

ngoja nikameze dawa zangu kwanza nitarudi baadae...!!

Alafu simpendi Mh. Lema maana "alichonitenda huko nyuma"...... Hapa London!!

Hujasomeka vizuri mkuu. Alichokutenda wapi?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
. . .Dawa za kuongeza siku unazotumia una uhakika siyo za kiwanda cha MA------ cha hapa ARUSHA?

Haaa!! Na wewe!!! Mkuu nimesoma comments za members hapo juu nikacheka sana, nikajua hawajanielewa, ila sasa na wewe...!! Mkuu mi ni mkata miwa tu hata London naisoma tu jf kupitia kwa Lukosi!!

Mkuu dawa hizi huwa zinapunguza uwezo wa mtu kufikiri ukizingatia mi mwana-CCM miliehamia from CDM maana nahofia tenda zangu zita....!!

Back
Top Bottom