Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
wafanye yooote,ila wajue kuwatumikia wananchi ndio muhimu
Hata mi nawashangaa, hawana tofauti na ccm ambao wakianza kuua tembo kule serengeti na kupakia twga kwenye ndege utadhani wameagizana wote.kwani chadema wote akili zao zinafanana hakuna wa kumshauri mwenzake wakiamua kufanya utoto wanafanya wote
wakitaka kulipua watu wanapanga wote
Kuongea bila takwimu ni sawa na kuropoka au kuhara bila control.lakini lema kuwa mbunge imetusaidia kwanza arusha imepungua msongamano wa watu ambao kila siku ilikuwa ni wageni na watalii kibao bora siku hizi hawaji kunanafsi.bado kidogo hotel nazo zitashuka bei na watu wa kawaida walale hotelini watakoma waliojenga mahotel makubwa.
Lema hawezi kuwa na mishemishe yoyote na Mburula kama Chris Lukosi.jamani hivi huwa kuna ishu gani behind the scene kati ya lema na chris lukosi,tuwekane sawa wadau
Mkuu Lukosi,
ngoja nikameze dawa zangu kwanza nitarudi baadae...!!
Alafu simpendi Mh. Lema maana "alichonitenda huko nyuma"...... Hapa London!!
Mkuu, nilitamani sn kurekodi, lkn intelijensia ilikuwa at the maximum surveillance, maana watu hawa wanaishi kwa mashaka sana.