byancas
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 268
- 248
Tokea Mheshimiwa Rais wa JPM aseme ametuma watu huko maofisini, baadhi ya waajiliwa wakongwe wameanza kuwaogopa ajira mpya kwa kuzani wao ndio vipaza sauti waliotumwa huko, leo hii adha imemkuta rafiki yangu baada ya kunisimulia na kuanza kucheka sana baada ya kusikia kuwa wanamhofia kama ni wale aliosema Rais JPM, wakimwona kijana kwenye kolido wanamkwepa, hata wakiwa kwenye maongoze wanakuwa na hofu nae, haaa haaa kweli mwaka huu watanyooka.