Hodini humu jamani

hodi gani hiyo karina mpaka chumbani mpendwa?
wewe huoni bado tunavaa misuli hapa..............?

anyway, pitia basi mlango ule wa uani kuna mtu atakupokea huko!!!!!!!
Asante wmaya mi naingia ila nitakayoyaona nitayaacha hapo hapo usiwe na wasi was
 
Angalia mkono wako wa kulia kwenye kila post kumeandikwa reply with quote ubofye hapo kama unamjibu mtu post yake, sawaaa eeee mama
Asante mama nimeshaona asante sana
 
mwe labda anaona hamna faida anafua wanachafua wengine tu!
 
karina ulibisha hodi, twakufungulia kumbe umeshaondoka. Umerudi tena? Karibu bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…