na huyu niliemquote ndie katavi bana! ukiquote post zake 10 tu unapewa upremium membaKaribu sana ndugu, huyo hapo juu ni mjomba Klorokwini na hao aliowataja ni baadhi ya ma-anko na ma-anti's, karibu sana!!
haujafanya kosa, hapa utapata kuonana na ma selebriti kama miss dodoma husninyo, mzee wa maadili kaizer, heartbuilder hashycool, sister michelle, grandfaza aspirin,rose ujicho, mfalme wa fujo teamo, mmasai wa mjini wiselady, afro mwana wa denzi na mume wake ze fainest, nguli mrisi wa jabali, lawyer mashuhuri ndugu uporoto1 bila kumsahau malenga wa gongo la mboto ndugu mohammed shossi. kwa niaba yao nasema karib sana
wamenipunguzia kamshahara ofisini, mistari yote imepotea. huoni wiki nzima sasa hakuna hata kaushairi ka uzushi?haya sasa!muda si mrefu utampa mashairi,,hakujui nn?
wamenipunguzia kamshahara ofisini, mistari yote imepotea. huoni wiki nzima sasa hakuna hata kaushairi ka uzushi?
Nimekua mfuatiliaji na msomaji wa siku nyingi wa hii forum,mijadala na shauri nyingi zinajenga na kuburudisha sana,...na sasa ninaomba kibari nijiunge na mnipokee ili nami niwe mwanafamilia/mwanajamii yenu....bravoooooooo all great thinkers.
Nawasilisha rasmi,..
inaonekana walikuwa wababaishaji,naweza kukufadhili,masharti na vigezo kuzingatiwa,,,lol!hapana taka kukosa burudani siye
Aiseee naomba MODS waweke mpambano wa FREE STYLE BATTLE naona kamanda klorokwin kama kawa you just killed ithaujafanya kosa, hapa utapata kuonana na ma selebriti kama miss dodoma husninyo, mzee wa maadili kaizer, heartbuilder hashycool, sister michelle, grandfaza aspirin,rose ujicho, mfalme wa fujo teamo, mmasai wa mjini wiselady, afro mwana wa denzi na mume wake ze fainest, nguli mrisi wa jabali, lawyer mashuhuri ndugu uporoto1 bila kumsahau malenga wa gongo la mboto ndugu mohammed shossi. kwa niaba yao nasema karib sana