Mayai Mbili
Member
- Aug 29, 2019
- 29
- 39
Mayai mbili Ndani Ya nyumba nawakilisha Wanaume wa mikoani nasikia humu ni Daslamu.....Naombeni A-Z za humu Darisalama ....
Hayo ni matatizo Ya wanadarisalama Huku Mkoani hayatuhusu mbona.... Hiyo ni A bado B-ZTumeibiwa ndege
weka mayai mezani kwanza.
32Weka picha na umri wako hapa
Huu ndio ukweli wenyewekwanza unaonekana umeongeza ID, siyo mgeni wewe!!
😂😂 kwani mgeni anafananaje mkuu...Mbona anapita njia zilezile uyu mwenyeji
Huku kwa wanaume wa Dar chungwa wamenyewa.Mayai mbili Ndani Ya nyumba nawakilisha Wanaume wa mikoani nasikia humu ni Daslamu.....Naombeni A-Z za humu Darisalama ....