Umestaarabika?.. karibu kwa wastaarabuHod wajumbe nimerud tena baada ya kupigwa ban nilimi Miss kwel jf sitarudia tena kutukana matus🙏🙏🙏🚶🚶
Hahaha...unaanza ngumi eee?!!?👊👊🙏🙏🙏
Shukran kwa tano.. niongezee moja ya mdogo wako!!😮😮😮 sio ngum mkuu nimekupa tano
vp dada umeolewa tuyajenge!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]nani kakwambia Mimi ni mdada
ulipigwa ban for how long????asante baeb