hodiiii jamani

hodiiii jamani

saruni

Member
Joined
May 5, 2010
Posts
5
Reaction score
0
naomba kuingia wadau,mimi ni mwanachama mpyaaa,nimependa habari za kusisimua kwenye JF
 
naomba kuingia wadau,mimi ni mwanachama mpyaaa,nimependa habari za kusisimua kwenye JF
<br />
<br />
karibu dungu yangu tuwe pamoja,cha msingi tuwe na dhamira + ktk kuelimisha,kukosoa,kuburudisha na mengineyo.
 
karibu sana saruni. Umenikumbushia kijana mmoja wa kimasai nilisoma nae advance miaka hiyo, aliitwa saruni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom