Chuma Chakavu JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 1,523 Reaction score 655 Apr 16, 2011 #1 Heshima zenu wanajamii!!, nimeamua kujumuika pamoja nanyi baada ya kuwa observer kwa muda mrefu, nimelisoma game na sasa tuwe pamoko katika libeneke. natanguliza shukrani
Heshima zenu wanajamii!!, nimeamua kujumuika pamoja nanyi baada ya kuwa observer kwa muda mrefu, nimelisoma game na sasa tuwe pamoko katika libeneke. natanguliza shukrani
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,147 Apr 16, 2011 #2 Karib bana , mimi naitwa klorokwini, nimeowa hapahapa JF.
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Apr 16, 2011 #3 karibu mgeni. One lv and pa1 sana.
Chuma Chakavu JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 1,523 Reaction score 655 Apr 16, 2011 Thread starter #4 klorokwini said: Karib bana , mimi naitwa klorokwini, nimeowa hapahapa JF. Click to expand... vizuri sana, naskia mwanao anaitwa 'jamiiforums'... just kidding!
klorokwini said: Karib bana , mimi naitwa klorokwini, nimeowa hapahapa JF. Click to expand... vizuri sana, naskia mwanao anaitwa 'jamiiforums'... just kidding!
Chuma Chakavu JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 1,523 Reaction score 655 Apr 16, 2011 Thread starter #5 thanks sweetlady but naomba uwe mwenyeji wangu wa karibu hapa jf, sina nia kama ya klorokwini ila kama namna gani itakuwa poa tu!
thanks sweetlady but naomba uwe mwenyeji wangu wa karibu hapa jf, sina nia kama ya klorokwini ila kama namna gani itakuwa poa tu!
Mpevu JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 1,803 Reaction score 179 Apr 16, 2011 #6 Avatar yako inanitisha na ujio wako, ni ishara ionyeshayo UMEKUJAJE. By da wy...Karibu sana.
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Apr 16, 2011 #7 Karibu sana
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,097 Apr 17, 2011 #8 Karibu
Sigma JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 5,007 Reaction score 1,259 Apr 17, 2011 #9 Karibu jamvini
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Apr 17, 2011 #10 Karibu sana!
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,244 Apr 17, 2011 #11 madinijoto said: thanks sweetlady but naomba uwe mwenyeji wangu wa karibu hapa jf, sina nia kama ya klorokwini ila kama namna gani itakuwa poa tu! Click to expand... Una kasi kweli jombaaa,karibu sana ila duh hiyo avatar ni nomaaaaa
madinijoto said: thanks sweetlady but naomba uwe mwenyeji wangu wa karibu hapa jf, sina nia kama ya klorokwini ila kama namna gani itakuwa poa tu! Click to expand... Una kasi kweli jombaaa,karibu sana ila duh hiyo avatar ni nomaaaaa
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,832 Reaction score 13,798 Apr 18, 2011 #12 Powa karibu sana.