Hodii

Hodii

Hadi maji aite mma 😂😂😂
Wazee wq kukamiaaq.. kalanga mbichi robo mchuzi wa pweza wa elf 3, juisi ya tende elf 4, dona na kichuli. Unaend na mazoez kilometa tano na eneji mbili, nazi tatu 😅
 
Unahakikisha mwendo aliokuja nao tofauti na anao ondoka nao 😂😂😂
 
Karibu sana....wewe ni chawa msifiaji au ni Gen Z mtanzania? 😲
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom