Hodii Naomba ushirikiano wenu jamani

Karibu sana lakini angalia usimpende Extrovert huyu tumekula ubwabwa wa harusi yake wiki chache zilizopita

Pia huyu KENZY tumepeleka posa anakooa yangu wiki iliyopita.

Na huyu Behaviourist amekabidhiwa mwali tumetoka kushiriki sendoff.

Bila kumsahau Ushimen huyu ni baba kijana ana cerebrery 50 anniversary ya ndoa yake, ifikapo DEC 25

Hah ha ha ha haaah
😉😉😉
 
Mwali, ebu mshauri huyu kijana anatakiwa atuheshimu baba zake humu ndani...😎😎
 
Karibu sana lakini angalia usimpende Extrovert huyu tumekula ubwabwa wa harusi yake wiki chache zilizopita

Pia huyu KENZY tumepeleka posa anakooa yangu wiki iliyopita.

Na huyu Behaviourist amekabidhiwa mwali tumetoka kushiriki sendoff.

Bila kumsahau Ushimen huyu ni baba kijana ana cerebrery 50 anniversary ya ndoa yake, ifikapo DEC 25

Hah ha ha ha haaah
Me too nini lakini mbona hivi..?😅
 
Af we kichuna ww, ndio nini hii umetufanya 😍
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom