Hodi wandugu humu ndani!
Niliingia JF miaka mitatu iliyopita, bahati mbaya sikuwa active kidogo; japo nimekuwa nikisoma baadhi ya posts nikipata nafasi pasipo kutoa comments. Maana si kila kitu unatakiwa kutoa comments. Kwa sasa nitakuwepo saaaaana.
Kwa kuwa niko ndani, natumai nishakaribishwa!!!!