Hodi

Hodi

karibu. Wewe "ME" AU "KE"??

Kiongozi stevoh next time as if their's no subject look the picture! Hapa hapakua na haja sana to seek the gender!
Ukiona Pink-Pink or Papo, ama rangi-rangi za kwenye maua, kwenye username jua ni Manzi !
Kidume na Pink wapi na wapi! Kidume black, yellow n.k
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru kwa kunikaribisha kwa moyo moja na mikono na miguu yote miwili miwili! Tutaendelea kushirikiana katika YOTE. Kwa kifupi mi natumia pombe za asili zote..so wale wa mnazi nimo, mbege usiseme..ulanzi kama kawa...nadhani mtaendelea na nyingine....
 
Kiongozi stevoh next time as if their's no subject look the picture! Hapa hapakua na haja sana to seek the gender!
Ukiona Pink-Pink or Papo, ama rangi-rangi za kwenye maua, kwenye username jua ni Manzi !
Kidume na Pink wapi na wapi! Kidume black, yellow n.k

haya mwamuzi wangu...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom