Hodi

Hodi

na bwana wako Wa Jf itabid awe mpya achana na Wa ile id ya zamani,njoo pm tuyajenge,karibu sana hah
 
Karibu.
Watakuuliza sasa hivi kama ni single, married, divorced, single mother, compicated, open relationship, ccm, chadema, great thinker au wa kawaida kawaida? Yotekwayote that's the way humu kama una ID nyingine ya zamani you know better...karibu kwa mara nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom