Hodi

Kabla ya kukaribishwa unakula za USO kwanza
hellow wana jf mu hali gan mm mgen jmn napenda sana kufatilia mada zenu ila leo nimejiunga rasm ila kuna vitu vunanichanga hasa kwenye hii app ya jf
 
sasa nishaelewa hy picha nimebadil nimeshindwa ndg
Uwe makini unapopost vitu JF maaana vingi huwa havifutiki pia maneno yako andika kwa urefu usiwe unafupisha...

Nimebadil = nimebadili
Hy = hiyo
Ndg = ndugu

Karibu sana...
 
Moneytalk ana habari kuwa kuna mtu unammiss sana??[emoji53][emoji53][emoji53]
X lazima ummiss mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu muulize kama ana ile sifa yako pendwa kwanza huyo X
 
X lazima ummiss mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu muulize kama ana ile sifa yako pendwa kwanza huyo X
X yupi tena??[emoji32].....ina maana umekula kibuti halafu sina habari???![emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
 
Uwe makini unapopost vitu JF maaana vingi huwa havifutiki pia maneno yako andika kwa urefu usiwe unafupisha...

Nimebadil = nimebadili
Hy = hiyo
Ndg = ndugu

Karibu sana...
sante bro inanifanya hata nataka kubadili account
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…