Rae mar Member Joined Nov 18, 2016 Posts 12 Reaction score 9 Nov 19, 2016 #1 Jamani naomba ushirikiano wenu mm ni member mpya wa jf
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,223 Nov 19, 2016 #2 Karibu mkuu. Taja Jinsia... Umri... Kapicha tukusaidie kubandika kwenye profile... Elimu....
Rae mar Member Joined Nov 18, 2016 Posts 12 Reaction score 9 Nov 19, 2016 Thread starter #3 Sawa kaka
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,932 Reaction score 28,147 Nov 20, 2016 #4 Karibu JF...
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,677 May 27, 2022 #6 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Jini mtuu Member Joined May 22, 2022 Posts 45 Reaction score 53 May 27, 2022 #7 Rae mar said: Jamani naomba ushirikiano wenu mm ni member mpya wa jf Click to expand... Zijue sheria na kanuni za humu. 1.hap sio Facebook kila thread utoe maoni. 2.angalau ujue kusoma na kuandika kingereza Cha kuombea maji 3 asilimia kubwa ya humu ni wake za watu so please jifunze kua na heshima na kila mwanamke utakae muona humu.. 4.Hautakiwi kua offline..nikiona haupo online nafuta akaunti yako.. Lazima kila mtuu umamkie Sawa kijana Jus 4 funyy my Young brother Karibu sana
Rae mar said: Jamani naomba ushirikiano wenu mm ni member mpya wa jf Click to expand... Zijue sheria na kanuni za humu. 1.hap sio Facebook kila thread utoe maoni. 2.angalau ujue kusoma na kuandika kingereza Cha kuombea maji 3 asilimia kubwa ya humu ni wake za watu so please jifunze kua na heshima na kila mwanamke utakae muona humu.. 4.Hautakiwi kua offline..nikiona haupo online nafuta akaunti yako.. Lazima kila mtuu umamkie Sawa kijana Jus 4 funyy my Young brother Karibu sana