ng'ana nkamba
Member
- Jun 20, 2013
- 55
- 19
salamu wote, najitambulisha kwenu naomba mnipokee kwa lolote mnijuze na kuniongoza mie bado kinda katika safu hii. Naomba ushirikiano wenu katika mada mbalimbali nitakazopost.
Karibu sana jamvini tutakuunga mkono lakini mada utakazotoa ziwe na maana.salamu wote, najitambulisha kwenu naomba mnipokee kwa lolote mnijuze na kuniongoza mie bado kinda katika safu hii. Naomba ushirikiano wenu katika mada mbalimbali nitakazopost.