Hodi waungwana

Hodi waungwana

Rinsa

Member
Joined
Dec 13, 2007
Posts
8
Reaction score
3
Naomba mnipokee mwanajamii mwenzenu.Nimekuwa nikiifuatilia hii forum tangu mwaka 2007 lakini sasa nimeamua kujiunga rasmi.Naomba mnipokee wandugu.
 
WiseLade,katavi,klorokwin,The Finest kwa uchache wategemee hao wapendwa katika jamii hii teule
 
safi sana sijuikitu:clap2:
 
Mlango uko wazi ingia, jisikia uko nyumbani kwa GREAT THINKERS
 
Nashukuru sana kwa kunikaribisha wandugu.Tupo pamoja
 
Back
Top Bottom