Jisikie upo nyumbani mjukuu wetuAsante sana jakitoo
Karibu sana aiseee
Kuanzia leo nakuzawadia cheo cha ukuu, utanza kuitwa mkuu Jay27.
Wakikuita mkuu usishangae we kumbuka ni cheo ulichopewa na mimi Bilionea Asigwa.

Karibu sana aiseee
Kuanzia leo nakuzawadia cheo cha ukuu, utanza kuitwa mkuu Jay27.
Wakikuita mkuu usishangae we kumbuka ni cheo ulichopewa na mimi Bilionea Asigwa.
mkuu billionea asigwa
Naam![]()
![]()
![]()
![]()
mkuu billionea asigwa
sawa sawa boss..karibuME....picha inakuja usihofu Joseverest
poapoaAsante sana Joseverest ....tupo pamoja mkuu