The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Wanajukwaa legwa nawakubali Wandugu ktk harakati ya hapa na pale hp jukwaani!
Mi ni mgeni lakini ninafuraha kuwa nanyi pale mtakapo nikubali kwani nimekuwa naperuz kitambo na mpaka sasa nimeamua kukita ndani fluuuu!
Tu pamoja Wakuu wote!
Full Time!
karibu mgeni weekend hii Bishanga atakupeleka Oman