Hodi! Wana JF nipokeeni!

Hodi! Wana JF nipokeeni!

monongo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
388
Reaction score
64
Wana JF,salamu zenu! Naomba tujumuike pamoja!!
 
Karibuuu!! No! Subiri kwanza! utakaribishwa na wenyeji!! Nami ni mgeni humu JAMVINI!
 
Karibu sana! Soma kwa makini sheria za jf!
 
Ndg, wana jf, naomba mnisaidie swali (1) Christmas ni kulewa sana,ngono sana!au ni ibada na sala?
 
Ndg, wana jf, naomba mnisaidie swali (1) Christmas ni kulewa sana,ngono sana!au ni ibada na sala?

Nenda kapost kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko. By the way, hizo ni tabia za mtu/watu. La msingi ni ibada, na ofcourse mahanjumati!
 
stock-photo-colorful-sign-come-on-in-63738541.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom