Aii!! yaani JF pekee ndiyo imekufanya uipende chadema???? usiwe laini kihivyo. Nenda kasome katiba za vyama vyote, katiba ya nchi, bible, koran pitia mitandao mbali mbali ya kijamii kisha wasikilize wengine mawazo yao halafu ndiyo ukae uchekeche kwa utulivu ndiyo ufanye uamuzi. Ninyi ndiyo kesho na kesho kutwa hamkawii kurudisha kadi
wewe umesma vyote hvo au unapga filimb tAii!! yaani JF pekee ndiyo imekufanya uipende chadema???? usiwe laini kihivyo. Nenda kasome katiba za vyama vyote, katiba ya nchi, bible, koran pitia mitandao mbali mbali ya kijamii kisha wasikilize wengine mawazo yao halafu ndiyo ukae uchekeche kwa utulivu ndiyo ufanye uamuzi. Ninyi ndiyo kesho na kesho kutwa hamkawii kurudisha kadi
Usirud nyuma sis majo
Karibu katika kupigania uhuru wa kweli wa nchi toka mkoloni CCM hakikisha unaelimisha na wanawake wenzako kujiunga na CHADEMA.