Hodi wakulu

mbalakunze

Member
Dec 14, 2013
8
1
Ninamshukuru Mungu kwa kuweza kujiunga nanyi humu.kwa ma great think..
nawaomba mnipokee na pia tuishi kama ndugu kwa upendo na umoja bila kujali itikadi zetu...
Asanteni sana na Mungu wangu awabariki
 
Ninamshukuru Mungu kwa kuweza kujiunga nanyi humu.kwa ma great think..
nawaomba mnipokee na pia tuishi kama ndugu kwa upendo na umoja bila kujali itikadi zetu...
Asanteni sana na Mungu wangu awabariki

Karibu sana
 
Karibu sana mkuu, ingawa unekosea jukwa naamini mods watakuhamisha.
Kwaniweni Me au Ke?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom