Hodi Singida!

Hodi Singida!

SuperSami

Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
30
Reaction score
3
Jamani mwenzenu mimi ni wa kiume, nimehamishwa kikazi toka Dar es Salam kwenda wilaya ya Mkalama Singida. Nihitaji wenyeji na marafiki wapya mnipokee nizoee mapema!
 
karibu kaka.tutaonana tu,kama sio kwa hamisi tutakutana kwa nina
 
Jamani mwenzenu mimi ni wa kiume, nimehamishwa kikazi toka Dar es Salam kwenda wilaya ya Mkalama Singida. Nihitaji wenyeji na marafiki wapya mnipokee nizoee mapema!

mm nipo huku wilayan pm nikukaribishe
 
Kulikoni kutolewa dar to mkalama
eeeh pole nimefanya kazi hapo ila sitaki kupakumbuka
 
Kulikoni kutolewa dar to mkalama
eeeh pole nimefanya kazi hapo ila sitaki kupakumbuka

Ulifanya kama nani idara gani?maana huku wageni hujulikana na kila ofisa wa serikali hutaka kula mzigo toka mjini
 
Back
Top Bottom