Hodi ni mimi coronavirus natokea China na naingia Arabuni

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,809
21,371
Wasalaam mdau mwenzangu wa jf.

Wakati China inatesa watu wa dini, ndugu zangu Waislamu walichukua eneo hilo kwa upande wao kuwa China inatesa Waislam, hivyo Allah atawaadhibu. Walifumba macho yao wasione kuwa si Waislam tu hata Wabudha na Wakristo wanateseka tena kuanzia siku nyingi tu kabla ya sekeseke la Waislam. Marekani ambaye wanamchukia sana alikuwa wa kwanza kupiga kelele hadi kwenye umoja wa mataifa kutetea jamii ya wachache inayoteseka huko China, vyombo vya habari vya USA vilikuwa vinamulika China sana na serikali ya Marekani ilizidi kuitishia China kwa hoja hiyo, lakini China ilikuwa inakanusha.

Hoja ya Coronavirus ikaja, AISIIIII, mada iligeuka upesi, Waislam kwenye media mbalimbali kama FB, ISTAGRAM nk wakatoa post za furaha kuwa Allah amesikia dua zao, sasa ameiadhibu China kwa Coronavirus kwasababu China inachoma Quran na kutesa Waislam. Gafla upepo umegeuka, Allah kapeleka Corona Iran,Misri, Algeria; Na Saudia Arabia ambako ndipo Al-kahaba ipo sasa hofu ya Corona imetanda, Saudia ni eneo takatifu la Waislam ambalo wote husali kwa kutazama huko, na huko Arabia ndipo kuna kaburi la kipenzi cha Waislam, mtume Muhamad. Kuna uwezekano mkumbwa Coronavirius kuingia katika ardhi takatifu ya Allah.....ingawa tayari imeshaingia katika nchi jirani na Saudia.

Waislam sasa wapo kimya kama maji ya mtunguni. UKIJENGA MSINGI WA DINI KATIKA UONGO, TEGEMEA ANGUKO LA AIBU. Nafikiri mmeelewa sasa, haya mambo hayataki haraka, kuna siri zake, siku ukizijua utafunga kinywa chako. [Ingawa si wote wanaokurupuka].

Saudia Arabia sasa imekatiza utalii huko kwenye kaburi la Muhamad lililoko katika mji wa Madina, pamoja na misafara ya ibada huko Makka.....na kwa mujibu wa DW ufalme wa Saudia umesema kama tatizo likiendelea kuwa tishio zaidi, huenda hata Hijja itapata mushkeli. iran wamezuia mikusanyiko mpaka ya ibada, hali ni tete, mpaka sasa watu 19 wameshakufa na Coronavirus huko Iran na 139 wana maambukizi. Iran nao sasa ndege zao zimezuiliwa kutua katika nchi za majirani zao, nao wameanza kutengwa kimataifa kwasabbau ya gonjwa hilo hatarishi. Qatar na Kuwait wametoa raia wao huko Iran. Hapo napo patasemewa mengi, sisi tusubiri kwa yetu macho. Hivyo gonjwa hili linaweza kuwa janga la dunia, amesema mkuu wa shirika la afya la UN.

Kuna post yangu fupi nilipost kuhusu "HEGELIAN DIALECTIC" niliiweka neno hilo lakini wengi hawakuelewa, sasa mtaanza kunielewa, na nitafafanua kuhusiana na hilo katika post fulani. Ili tuanze kujifunza habari za ujasusi wa kidini na kisiasa ulio asisiwa karne ya 16.

China sasa ipo hoi, imeshazika maelfu ya raia wake, na wengi wameambukizwa zaidi ya 70 elfu, safari za ndege za mataifa mbalimbali yamezuiwa kwenda China, na Wachina wamezuiwa kutua katika nchi kadha wa kadha, Uchumi wa China sasa umeanza kuonesha hali tete pamoja na nchi zile ambazo zinategemea bidhaa kutoka China. Rejea taarifa ya Azam Tv kuhusu soko la Kariakoo. Bill gate alisema, miaka 3 iliyopita kuwa kuna gonjwa hatari litazuka China, MAREKANI MAREKANI WEWE UMESHINDIKANA....SIJUI NDIO MAJIBU YA TRADE WAR? INTELEJENSIA YA CHINA ILIKUWA WAPI? AU ILIKUWA IMELALA FOFOFO. Hakuna movie isiyo na stering, hebu tusubiri tuone kama sterin naye atapigwa cha mbavu.

Nzige nao wamechachamaa huko Pakistan kiasi imeshindikana kuwazuia, ni wengi mno na wa kutisha, Kahawa ipo hatarini huko kuangamizwa na Nzige hao ambao kila siku wanazidi kujieneza. China wamepeleka msaada wa Mabata ya kula Nzige hao, sijui wataliwa na kuisha? vipi kuhusu Corona kuingia kwa njia hiyo? kweli China naye atakubali kufa mwenyewe hivi hivi? tusubiri.

Afrika tulishazoea Malaria na utisho wa Ebola mahali mahali, je Corona tena inatustahili? naomba Mungu itupishie mbali.

Na Jeff Massawe.
Soma na hii pia 👇:
Tusishangae Virusi vya Corona kuingia nchini
 
Uku nzige, kule korona, aya , aya, uku tena kinana anapewa onyo kali, aya , kule makamba anaomba msamaha tena wa maandashi, aisee! ivi mnajua ilivyo ngumu kuomba msamaha kwa maandishi!
Allah subhana atuokoe 😂😂😂😂
 
Siungi mkono propaganda zilizokua zikienezwa juu ya huu ugonjwa, ila kwa mujibu ya mafundisho ya dini ya kiislam na imani ilivyo, ikitokea adhabu haibagui, halafu anaekufa na endemic au pandemic diseases anahesabiwa kafa shahidi.
Kuhusu hatua walizochukua Saud Arabia pia ni sehemu ya mafundisho ya dini ya kiislam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu siyo propaganda hizo but ni uharisia wa kile kilichotokea huko.
Siungi mkono propaganda zilizokua zikienezwa juu ya huu ugonjwa, ila kwa mujibu ya mafundisho ya dini ya kiislam na imani ilivyo, ikitokea adhabu haibagui, halafu anaekufa na endemic au pandemic diseases anahesabiwa kafa shahidi.
Kuhusu hatua walizochukua Saud Arabia pia ni sehemu ya mafundisho ya dini ya kiislam.
 
Subiri iingie tanzania,maana Tayar iko nigeria mda huu,ndio useme pigo la wachina...

Hizi ideology zenu zakuandika mambo pasipo kuyafikilia mnapotosha sana
...
Huu ugonjwa unakuja africa na kusambaa soon na utaua sana,nyie suburini muone,,,
 
Wasalaam mdau mwenzangu wa jf.

Wakati China inatesa watu wa dini, ndugu zangu Waislamu walichukua eneo hilo kwa upande wao kuwa China inatesa Waislam, hivyo Allah atawaadhibu. Walifumba macho yao wasione kuwa si Waislam tu hata Wabudha na Wakristo wanateseka tena kuanzia siku nyingi tu kabla ya sekeseke la Waislam. Marekani ambaye wanamchukia sana alikuwa wa kwanza kupiga kelele hadi kwenye umoja wa mataifa kutetea jamii ya wachache inayoteseka huko China, vyombo vya habari vya USA vilikuwa vinamulika China sana na serikali ya Marekani ilizidi kuitishia China kwa hoja hiyo, lakini China ilikuwa inakanusha.

Hoja ya Coronavirus ikaja, AISIIIII, mada iligeuka upesi, Waislam kwenye media mbalimbali kama FB, ISTAGRAM nk wakatoa post za furaha kuwa Allah amesikia dua zao, sasa ameiadhibu China kwa Coronavirus kwasababu China inachoma Quran na kutesa Waislam. Gafla upepo umegeuka, Allah kapeleka Corona Iran,Misri, Algeria; Na Saudia Arabia ambako ndipo Al-kahaba ipo sasa hofu ya Corona imetanda, Saudia ni eneo takatifu la Waislam ambalo wote husali kwa kutazama huko, na huko Arabia ndipo kuna kaburi la kipenzi cha Waislam, mtume Muhamad. Kuna uwezekano mkumbwa Coronavirius kuingia katika ardhi takatifu ya Allah.....ingawa tayari imeshaingia katika nchi jirani na Saudia.

Waislam sasa wapo kimya kama maji ya mtunguni. UKIJENGA MSINGI WA DINI KATIKA UONGO, TEGEMEA ANGUKO LA AIBU. Nafikiri mmeelewa sasa, haya mambo hayataki haraka, kuna siri zake, siku ukizijua utafunga kinywa chako. [Ingawa si wote wanaokurupuka].

Saudia Arabia sasa imekatiza utalii huko kwenye kaburi la Muhamad lililoko katika mji wa Madina, pamoja na misafara ya ibada huko Makka.....na kwa mujibu wa DW ufalme wa Saudia umesema kama tatizo likiendelea kuwa tishio zaidi, huenda hata Hijja itapata mushkeli. iran wamezuia mikusanyiko mpaka ya ibada, hali ni tete, mpaka sasa watu 19 wameshakufa na Coronavirus huko Iran na 139 wana maambukizi. Iran nao sasa ndege zao zimezuiliwa kutua katika nchi za majirani zao, nao wameanza kutengwa kimataifa kwasabbau ya gonjwa hilo hatarishi. Qatar na Kuwait wametoa raia wao huko Iran. Hapo napo patasemewa mengi, sisi tusubiri kwa yetu macho. Hivyo gonjwa hili linaweza kuwa janga la dunia, amesema mkuu wa shirika la afya la UN.

Kuna post yangu fupi nilipost kuhusu "HEGELIAN DIALECTIC" niliiweka neno hilo lakini wengi hawakuelewa, sasa mtaanza kunielewa, na nitafafanua kuhusiana na hilo katika post fulani. Ili tuanze kujifunza habari za ujasusi wa kidini na kisiasa ulio asisiwa karne ya 16.

China sasa ipo hoi, imeshazika maelfu ya raia wake, na wengi wameambukizwa zaidi ya 70 elfu, safari za ndege za mataifa mbalimbali yamezuiwa kwenda China, na Wachina wamezuiwa kutua katika nchi kadha wa kadha, Uchumi wa China sasa umeanza kuonesha hali tete pamoja na nchi zile ambazo zinategemea bidhaa kutoka China. Rejea taarifa ya Azam Tv kuhusu soko la Kariakoo. Bill gate alisema, miaka 3 iliyopita kuwa kuna gonjwa hatari litazuka China, MAREKANI MAREKANI WEWE UMESHINDIKANA....SIJUI NDIO MAJIBU YA TRADE WAR? INTELEJENSIA YA CHINA ILIKUWA WAPI? AU ILIKUWA IMELALA FOFOFO. Hakuna movie isiyo na stering, hebu tusubiri tuone kama sterin naye atapigwa cha mbavu.

Nzige nao wamechachamaa huko Pakistan kiasi imeshindikana kuwazuia, ni wengi mno na wa kutisha, Kahawa ipo hatarini huko kuangamizwa na Nzige hao ambao kila siku wanazidi kujieneza. China wamepeleka msaada wa Mabata ya kula Nzige hao, sijui wataliwa na kuisha? vipi kuhusu Corona kuingia kwa njia hiyo? kweli China naye atakubali kufa mwenyewe hivi hivi? tusubiri.

Afrika tulishazoea Malaria na utisho wa Ebola mahali mahali, je Corona tena inatustahili? naomba Mungu itupishie mbali.

Na Jeff Massawe.
Soma na hii pia 👇:
https://www.jamiiforums.com/threads/tusishangae-virusi-vya-corona-kuingia-nchini.1691434/
 
Back
Top Bottom