Hodi Kilimanjaro

Hodi Kilimanjaro

bulajunior

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2024
Posts
624
Reaction score
895
Habari wanajamii forum napenda kushirikiana na nyinyi kitu kimoja hasa watu makini kutoka mkoa wa Kilimanjaro.

Mimi ni mwalimu wa chemistry na biology. Nina safari ya kuja Kilimanjaro kipindi hiki cha likizo kwa ajiri ya kufundisha tuition kwenye masomo haya mawili japo ikitokea uhitaji wa physics na maths ukawa mzuri basi watu hao naweza kujumuika nao tuje tunufaike kwa pamoja.

Nimeandaa uzi huu kwa sababu nilikuwa na mawasiliano na mtu kutoka Kilimanjaro toka siku za nyuma lakini ghafla siku kama tano simpati kabisa sasa sijajua nini kimemsibu ndugu yangu. Nimeona isiwe taabu ndugu kama huyo wapo wengi hapa jamvini. Naomba mtu yeyote anae toka Kilimanjaro awe mwenyeji wangu .

Topic nazotaka kuzifundisha ni
1: Organic chemistry 1&2
2 Inorganic chemistry
3 Genetics
4 Reproduction.
Contacts 0747487285
Asante
 
Back
Top Bottom