Hodi jamvini!

Hodi jamvini!

Ba Brio

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
78
Reaction score
37
Ndugu zanguni wake kwa waume wa hapa jf, naomba kukaribia jamvini. nimeshavua viatu nsije nkachafua jamvi.
 
Afadhali umevua mwenyewe maana ungechafua lazma tungekumaliza kabisa
Karibu sana Ba Brio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom