Karibu. Ila humu ndni Kama kweli ni Mgeni Kuna mawili. Either kuharibikiwa akili mapema Sana au kupanuka akili mapema Sana. Nakuambia hivi kwa sababu tuna lundo la wageni wenyeji humu ambao wakiharibikiwa akili Sasa wanajifanya wageni ili waanze upya.
Mfano wewe yaani umejiunga Jana na Jana hiyo hiyo ukajua Kuna kuanzisha Uzi (jokes). Binafsi ilinichukua mwezi mzima kusoma mazingira B4 sijaanzisha Uzi.