Hodi jamvini JF

Hodi jamvini JF

face

New Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
4
Reaction score
0
Wapendwa;
Hii ni mara yangu ya kwanza kujiunga na JF, nimefikia uamuzi huu kutokana na umuhimu wa michango ambayo nimekuwa nikiipata na kuvutiwa na baadhi ya mada. Naomba niwasalimie wote JamiiForums na kujitambulisha kwenu rasmi!
Asante.
 
Karibu sana JF,uwe huru,here is where we dare to talk openly.......read JF rules!!!
 
Asante sana Michelle nimeshasoma JF Rules. Nakushukuru sana kwa kunikaribisha hasa ukiwa wa kwanza na mwanamke mwenzangu
 
ulikua wapy siku zote hizo???..................haya karibu sana.
 
Ahsanteni wote mlionikaribisha nashukuru kwa ukarim wenu.
 
Karibu sana mkuu!avator yako inatisha!vipi ulipata ajali?pole sana!!
 
Karibu..ila mie naogopa kukuangalia usoni...kwani umefanya nini kwenye uso wako jamani??? POLE
 
Ahahahaaah! Watu mbona mnaiogopa avatar?
 
Sijapenda mchango wa baadh ya wana jf,kwnn mnajadil sura ya mtu?nani kati yenu anauwezo wa kutengeneza japo kidole?achen hizo.
 
Back
Top Bottom