karume kenge
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 568
- 421
Habari zenu wa ndugu mi mgeni hum hamjambo wakubwa wadogo marahaba nimeona sio vr kuingia nyumba ya mtu bila kutoa salam wala kupiga hodi si katika maadili yetu watanzania hasa msukuma mie nilie fundishwa maadili ya mila na desturi asanteni sana nime humu kwaa ajili ya kuelimishana na kibadirishana mawazo tofaut ili nakaribisha kukosolewa pale napo kosa na pia natumai nanyi mko tayari kukosolewa na kama hakuna kukosoana ntatika humu kwa sababu wote tutakua ma nyumbu tu haiwezekani watu elfu kadhaa tukawa na msimamo mmoja thenks