NAFIKA
Senior Member
- Dec 3, 2011
- 128
- 43
Leo nimeona niseme jamani maana inaboa sana, baadhi ya Tax drivers wamekua tishio kwa mahusiano ya watu mtu, si kijana wala mzee, tabia ni zile zile........ mrembo asikodi gari zenu kosa mnataka mumpe hadi huduma ya p*m b u, tabia hii ni chafu na itakuja kuwatokea puani..... msione vyaelea vimeundwa, muache tabia hii chafu ya kung'ang'ania vya watu vitakuja kuwatokea puani.