huhuhuuuuu karibu .. Jina lako zuri
Nilimeza valium ili nisinzie vizuri,yani nimeamka nina hasira za kufa mtu!!!!!
Leo asipitishe hata sura ake mbele angu......
unafurahia kukanyagwa au kukanyaga?
hodi chit chat natafuta rafiki mwenzenu
zipo nyingi tu...nina kisima cha gesi N'twara
umeenda wapi sasa wewe kiumbe hai..
dia umeamka? Embu jiandae nikupeleke pale imalaseko supermarket
basi kama wewe sio kigogo basi utakuwa ligogo
Hiyo hela naomba nikanunue mikoba!!!!!
habari ni njema kaka, vipi pande yako???
yaani hata sijui utaniita vipi, ngoja nimuite my princess charminglady akueleze mihela tuliyonayo.
Nilimeza valium ili nisinzie vizuri,yani nimeamka nina hasira za kufa mtu!!!!!
Leo asipitishe hata sura ake mbele angu......
RAFIKI wa kushare mambo mbali mbali ya maisha