Emily magnus
Member
- Apr 7, 2026
- 38
- 61
Shkamooni wakuu! Nawasalimia me ni mgeni humu, nimejiunga juzi, ila JF nimeijua tangu mwaka jana. Mnikaribishe tafadhali.
Karibu.. mimi naitwa The Burning Spear 🔥 kikongwe wa miaka 15 JFShkamooni wakuu! Nawasalimia me ni mgeni humu, nimejiunga juzi, ila JF nimeijua tangu mwaka jana. Mnikaribishe tafadhali.
Ngoja waje akina min -me Seran chai ya rangi wakuelekeze maana kila post utawakuta😃😃Ahsante sana. Ila wakuu naomba mnifundishe namna ya "ku-qoute", japo ninatumia batani.
Fanya na wewe kila post uwepo
Shida nikiscrol nakutana na post za zamani sana 2022 huko, mara moja moja ndyo zinakuja mpya so cjui nakosea wap😀😀😀Fanya na wewe kila post uwepo
Ukitaka kumtaja mtu weka hii alama@ andika jina lake bila kuruka nafasi mbele ya hiyo alama , I'd yake itapanda una ichagua unapostSeran... Derick yupi¿ nina kaka mtoto bamkubwa. Ila hatujuani namjua kwa jina tu.
Shkamooni wakuu! Nawasalimia me ni mgeni humu, nimejiunga juzi, ila JF nimeijua tangu mwaka jana. Mnikaribishe tafadhali.