Hodi hodi

cutienoe

Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
38
Reaction score
6
Habari zenu wanaharakati wa humu ndani? naomba wenyeji mnikaribishe kwa ukarimu mgeni mie. natumai 2takuwa pamoja. thanx.
 
mpaka sekunde hii tuko pamoja ooh! huna haja ya kuwa na tembo card master kukaribishwa kariiiiibu saanaaaaaa!
 
Karibu mgeni karibu, ila zingatia miongozo na kanuni za jukwaa hili!
 
duh! Karibu sana mgeni, this week mmekuja wengi duh!
 
Haya majina haya... the good thing hatutamki...


Karibu saana...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…