Hodi hodi wanaJF

Hodi hodi wanaJF

Princess Tee

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
60
Reaction score
18
Habari zenu wapendwa, nimeamua kujumuika nanyi katika jukwaa hili nategemea ushirikiano wenu wote tukiwa na nia moja to make Tanzania a better place. Ntashirikiana pamoja na wapenda maendelea wote.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu ibariki Afrika.
 
karibu sanaa! Ila soma sheria za JF bila kusahau kuisikiliza video ya matusi ya lusinde ili ikuweke sawa na mambo ya lugha kwenye majukwaa mbalimbali.
 
Back
Top Bottom