Hodi hodi wanajamii

Hodi hodi wanajamii

KONYI

New Member
Joined
Aug 26, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Hello.
Salamu zenu wote na wakubwa shikamoo. Naingia ukumbini nikiwa kamili na akili timamu ili kuleta busara na michango ya maendeleo. Naomba munikaribishe
 
Karibu ukiwa na akili timamu,......................karibu pia ukiwa kamili,kumbuka pia kuwa mkono mtupu haulambwi,..........................,yawezekana ukafikiri una akili timamu kumbe sikweli,................ukafikiri uko kamili kumbe si hata robo hujafikia,..........la maana ni kuzingatia kanuni,.............................ukikaribisha ni vyema ukakaribia na kuitikia mwito,jifunze kushukuru....................karibu sana,huko utokapo hawajambo.........................,
 
Marhada. Karbu ww na mwl wako wote.
 
Back
Top Bottom