^^
Karibu sana bibie, Karibu wenyeji wanakuja kukukirimu.
^^
Jamani mimi ni mgeni nikaribisheni tafadhali
kupunguza maswali mimi ke!
Asante, japo inaonekana changamoto ni nyingi sana humu ndani
Karibu sana pm.
Jamani mimi ni mgeni nikaribisheni tafadhali
kupunguza maswali mimi ke!
Ha ha ha ha ahaa? Nilisahau kidogo. Ila sidhani kama atakua nayo.. Lets me try kumuuliza faraghaniHa ha ha hujamuuliza kama ni bik**
Ha ha ha ha ahaa? Nilisahau kidogo. Ila sidhani kama atakua nayo.. Lets me try kumuuliza faraghani
- :smile-big:
Ohooo.. Umechafua hali ya hewa sasa
Karibu sana mrembo,badae unikumbushe nikuonyeshe mazingira
Karibu sana pm.