Hodi hodi wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hodi hodi wana jf

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by LOGARITHM, Oct 2, 2010.

 1. LOGARITHM

  LOGARITHM JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Waheshimiwa Wana JF na wapenda maendeleo wote. Mimi ni mwanachama mupya kabisa nabisheni hodi. Nimeipenda hii forum na nimekuwa msomaji mzuri sana kwa muda mrefu. Sasa ni wakati wangu wa kujumuika kivitendo kama ilivyo wakati muafaka kwa ukombozi wa Tanzania yetu, kwa ajili yetu na vizazi vyetu vilivyopo na vijavyo. Naamini sawasawa na mawazo ya Balozi wa Ujerumani nchini kuwa Tanzania yenye neema kwa watu wake inawezekana mno ikiwa tu tutaweza kufanya mambo yaliyo sahihi.
   
 2. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2010
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,214
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Umeshatoa mchango wako wa fedha kwa CHADEMA? Kama uko Tanzania umejitokeza kusaidia kufanya kazi za CHADEMA kipindi hiki muhimu?
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  karibu kaka.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Oct 2, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Karibu sana Logarithm.........nahisi utakuwa ni mtaalamu au unapenda sana hesabu.
   
 5. LOGARITHM

  LOGARITHM JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  Ndugu Katavi na wengine , nashukuru kwa ukaribisho wenu. Nimejiita jina hilo kwa kumbukumbu ya jinsi hesabu zilivyonishinda na zilivyonigaragaza enzi hizo. Lakini zile za kariakoo shimoni sio mbaya, hizo, naziweza!

  Kawa mara nyingine tena, asanteni.
   
 6. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,071
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  karibu sana log, wewe ni moja kati ya hesabu ambazo zilinisumbua sana form four ila nakukaribisha kwa moyo mkunjufu kabisa
   
 7. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Karibu sana. Kumbuka kupitia kwa makini sheria na kanuni za JF. Kila la heri katika ushiriki wako wa mada mbalimbali hapa JF.
   
 8. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Duuh, wewe kweli LOG zilikusumbua mpaka umesahau hata huwa zinafundishwa kidato kipi, hesabu za LOG huwa zinafundishwa form two baada ya kusoma quadratic equations, exponents na indices. Anyway, labda nyie mlikuwa mnafuata syllabus tofauti. Ni maoni tu!
   
Loading...