MCHUMA MBOGA
Member
- Mar 29, 2012
- 18
- 10
Hatimaye leo nimeamua kubisha hodi rasmi ndani ya JF ili nami niwe mwanafamilia baada ya kuwa guest wa JF kwa muda mrefu ambapo nilipata fursa ya kufuatilia posts mbalimbali zenye hoja. Natarajia kupata ushirikiano wenu. Asanteni.

Karibu saaana! Ila mgeni wetu umekosea njia, hapa sio mahala pake, ulitakiwa uanzie mapokezi kupiga hodi, baada ya kukaribisha ndo unaweza kuja mpaka huku chumbani.
Kama kila mtu anayeingia atabisha hodi kuwa ameingia badala ya kuingia na mada muda wote utakuwa ni kupokea wageni na kupoteza muda kama magamba au na wewe ni mmoja wao kwasababu mnakuja na majina kama la baharia wakati kumbe ni mitoto ya mafisadi mnaijua wakati inataka kugombea uongozi inabadili ID kuweka jina halisi mfano wale wa East Africa
Karibu Mchuma Mboga!Hatimaye leo nimeamua kubisha hodi rasmi ndani ya JF ili nami niwe mwanafamilia baada ya kuwa guest wa JF kwa muda mrefu ambapo nilipata fursa ya kufuatilia posts mbalimbali zenye hoja. Natarajia kupata ushirikiano wenu. Asanteni.