Hodi hodi wana JF

Hodi hodi wana JF

mdau wetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
548
Reaction score
62
Ndugu zanguni wakuu, nami mtanzania mwenzenu nimejiunga natumai nitadfaidika na kufaidisha hivyo naomba mnikaribishe.
 
karib sana.

Warning: Unaweza kuzarau michango ya member wote, lakini usijaribu kuzarau michango yangu, utaharibikiwa kimaisha (scientifically proved)
 
karib sana.

Warning: Unaweza kuzarau michango ya member wote, lakini usijaribu kuzarau michango yangu, utaharibikiwa kimaisha (scientifically proved)
Tehe tehe teheeeh!!
 
Karibu ukae! Karibu umefika hapa ndo JF! Presha zako ziache hapo nje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom