Bandugu bhana ba Kilosa hodiiii... Wajameni mwenzetu leo jioni mgeni wenu hapo kwa wilaya!
Nawaombeni nijuzeni wapi lodge nzuri ya kulala na maeneo gani nitapata ile huduma yetu ya dharura...!
Wakina
mysee palace karibisha mimi...!
Last edited by a moderator: