hodi hodi jamani?

enhance

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
449
176
wanajamvi salama? nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala hapa jamvini, nimevutiwa nayo na nimeona nami nishiriki kulisukuma hili gurudumu! niko tayari kwa muongozo.
 
karibu sana JF, naitwa excel.

kuwa huru kusema chochote bila kuvunja sheria.
 
wanajamvi salama? nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala hapa jamvini, nimevutiwa nayo na nimeona nami nishiriki kulisukuma hili gurudumu! niko tayari kwa muongozo.

karibu naitwa kabanga...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom