Hodi hodi Jamaani...

Official Chamimi

New Member
Jan 8, 2018
4
0
Hodi hodi jamaani, wenyeji mpo??

Mimi ni mgeni humu, sijawahigi ingia katika familia hii na kuwajulia hali.

Naomba nipokelewe na kukaribishwa kiroho saafi..

Natumai na nataraji kuwa na nyinyi kuanzia sasa na kuendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hodi hodi jamaani, wenyeji mpo??

Mimi ni mgeni humu, sijawahigi ingia katika familia hii na kuwajulia hali.

Naomba nipokelewe na kukaribishwa kiroho saafi...

Official Chamimi ni jina tuu, Lakini jina langu rasmi ni Samir, natumai na nataraji kuwa na nyinyi kuanzia sasa na kuendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app

Weka na picha za passport tatu. Au picha yoyote ya sura yako.
Halafu huku kila Mtu mkuu, hata wa kike wewe mwite mkuu tuu.
Karibu sana.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Back
Top Bottom