Hodi hodi jama naingia,

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
6,781
Reaction score
1,658
Honestly i love jf that's why nimeshindwa kuvumilia hadi ban iishe. NAOMBENI MNIPOKEE TENA. Wenu mtiifu A.M
 
karibu tena, ulikua unatumia id gani nikuombee msamaha?
 
Ulitumia id gani mwanzo? Karibu tena, ila zingatia kanuni na sheria za jf usipigwe ban tena!
 
asanteni wote kwa kunipokea tena, nilikua natumia id ya angel msoffe na aliyenisababishia ban ni faizafox na malariasugu sababu ya ban ni kusema bi kiroboto na naibu wake.

Kumbe ni angel Msofe! Omba msamaha kwa mods ile id irudishwe.....by the way MSHUNGA NATIA maana yake nini?
 
kumbe ni angel msofe! Omba msamaha kwa mods ile id irudishwe.....by the way mshunga natia maana yake nini?
nafkiri kufanya hivyo, mshunga natia ni jina la bibi yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…