halafu weee, kwanini unachungulia wakubwa wakioga?zumbemkuu nimemwona karudi kule kwenye stress anamwambia Zitto hatamsamehe ni bora yeye na panya wake wasisalie, lol! mitungi imemshinda anaamua kwenda kujisalimisha bora apotee na panya wake.
chezeya huku stress free kuna wenyewe
ha haaaa, you wish, lol!wee ringa tu, utatafuta namba zangu za simu hadi uvimbe nywele, ntakuwa nakuchora tu kwenye luninga ya asili...hadi uanzishe uzi hapahapa chitchat wakunitafuta ndo ntajitokeza loh!
hahahahaha! mkuu majibu utayapata live hapahapa jukwaaani...
wee ringa tu, utatafuta namba zangu za simu hadi uvimbe nywele, ntakuwa nakuchora tu kwenye luninga ya asili...hadi uanzishe uzi hapahapa chitchat wakunitafuta ndo ntajitokeza loh!
hahahahaha! mkuu majibu utayapata live hapahapa jukwaaani...
ha haaaaaaaaa, hukufunga mlango babu....halafu weee, kwanini unachungulia wakubwa wakioga?
aiseee! umenifumbua...
uwe unabisha hodi basi, hujui nilishaaga kuwa sirudi kule kwa wiki nzima hadi niuone mwaka! ntaonekana muongo..ha haaaaaaaaa, hukufunga mlango babu....
ha ha haaaaaaa, omba msamaha tu babu.... nimeaga kwetu na mimi, unafikiri utanipata kirahisi rahisi tu?aiseee! umenifumbua...
kuna kitu huyu binti ananichezea... ngoja nitulie, nikimgundua atakoma na mimi...
ha haaaaaaaa, yaani ufanye kazi ya ziada kuona ninachofanya, nimeaga kwetu ati.....uwe unabisha hodi basi, hujui nilishaaga kuwa sirudi kule kwa wiki nzima hadi niuone mwaka! ntaonekana muongo..
halafu mbona mitambo yangu inasumbua? umeifanya nini? ole wako nigundue kuwa umeikorofisha... let me work on it, naongea kisambaa kuonyesha msisitizo...
ha ha haaaaaaaaa, ungejaribu mamluki toka Kigoma....... huko Tanga si ndo mnakaribia kushindwa?alright! naona ndugu yangu yupo hapa, njoo unisaidie haka kabinti kanakoitwa FP kamekorofisha mitambo yangu.
Topic Information
Users Browsing this Topic
There are currently 8 users browsing this thread. (3 members and 5 guests)
halafu anatafuta mamluki wa kumsaidia toka Tanga huko huko....Mkuu FP zumbemkuu anaona giza tu kwenye mtungi wake lol!
aisee hapo kwenye red ndo unazidi kuharibu kabisa.......ha ha haaaaaaaaa, ungejaribu mamluki toka Kigoma....... huko Tanga si ndo mnakaribia kushindwa?
halafu anatafuta mamluki wa kumsaidia toka Tanga huko huko....
mi namshauri akatafute Kigoma ambako hata panya hawabaki kwenye nyumba.... haoni kama huko ndo watakuwa wakali sana? anaweza kuninasa mara moja, lol!
ha haaaa, Kigoma ndo kunatokea ule utaalamu wa kunasana? sijui...... mimi najua tu ukipewa huko ujue mbaya wako hata panya hawatabaki nyumbani kwake, lol!Anaweza kukunasa au mtanasana!? LoL!!! Hahahaha!
ha haaaaaaaa, kwa sababu umegoma kuwasamehe watu wa Kigoma?aisee hapo kwenye red ndo unazidi kuharibu kabisa.......
embu ngoja niende kwnye kikao cha wazee wenzangu nikaelezee na hii kesi.....
wee ntake radhi,mie sio mdini wala mkabila, mwafrika halisi ndo mimi, kuoga siku ya xmass tu.ha haaaaaaaa, kwa sababu umegoma kuwasamehe watu wa Kigoma?
ndo nazisubiria hizo dk 40 kwa hamu.....wee ntake radhi,mie sio mdini wala mkabila, mwafrika halisi ndo mimi, kuoga siku ya xmass tu.
kwani wee hujui watu wa huko wananunulia wapi sumu ya panya?? uliza uambiwe... teh teh teh teh teh! FP unajua bado dakika 40 tu?