Hodi hodi humu ndani.

You remember back in the days ofKanda Bongo man, Chakachaka and so many other pioneers of soukous style.


Nakumbuka sana hiyo.... nimeiserebuka sana tu hiyo makitu:violin::drum:
 
Kwanza nipe hiyo pipi ndo nianze ukuwadi vizuri:llama:


hapa babu tuone niya ya Karia iko vipi kwanza. sikutumi yeye ndiye akutume kwangu.

kama ni pipi bora uombe tu usiitake kama malipo. teh teh
 
Last edited by a moderator:
kijana karibu sana.....
natumaini shemeji yako Asprin kesha kusalimia, nitarudi baadae kidoga acha nikam-massage ...

Mnamassagiana saa 6 mchana kweupee! Ng'ombe bado wako machungani! Kazi mnafanya saa ngapi ?
Nyie jua likizama mtamassaji hata Tv!
 
Last edited by a moderator:
hapa babu tuone niya ya Karia iko vipi kwanza. sikutumi yeye ndiye akutume kwangu.

kama ni pipi bora uombe tu usiitake kama malipo. teh teh
Dah.... kweli nimeamini....

It is not SEX that gives Pleasure, it is the LOVER!
 
Dogo kribu!
Umekuja una shiing'ngapi ?
Ukinitajia amount ya uongo, utakua una access ya jukwaa la matangazo na siasa tu! Hapa nakuondoa!
Haya sema fasta mfukoni hapo unazo ngapi ?
KONNIE usham'bandua lebo huyu ?
Kama bado m'bandue fasta.
 
hapa babu tuone niya ya Karia iko vipi kwanza. sikutumi yeye ndiye akutume kwangu.

kama ni pipi bora uombe tu usiitake kama malipo. teh teh
Babu Asprin naomba uwe mshenga nabest man wangu kwa Erotica! Please!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…