hodi hodi humu ndani nmerud nilipata matatizo

duh,pole sana. tatizo unavamia jiji bila kugonga hodi, hamjui kuna wenyewe?
btw pole sana tatizo pia ulienda maskani ya vibaka kirumba resort na viunga vyake. hebu muulize Erickb52 alikuwa maeneo gani? ye alipofika aligonga hodi na kututafta wazee wa mji, alienjoyjeee!!!!!

CL huyu mpe nusu pole!
Hii yote shauri ya kukwepa hosts niliwasiliana nae nionane nae aka'respond vizuri, then akapotea mazima! Mi najua bado yuko Uk , kumbe looh!
Nway pole bwa-mdogo!
 
Last edited by a moderator:

Ndo kujua mji huko!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom