Hodi hodi hodi

Hodi hodi hodi

hemeamulo

Member
Joined
Feb 22, 2011
Posts
5
Reaction score
1
Hi Guys
Naomba kukaribishwa ndani ya nyumba hii, I am highly impressed with your discussions
 
Karibu mkuu, ila ungejitambulisha kwenye jukwaa husika la'UTAMBULISHO"
 
Ahsante kwa maelekezo mkuu, unajua ugeni tena ndo kwanza nimeshuka mjini toka nyarugusu
 
Nimekugongea senks kwa kuadmit ugeni, ila mwisho wa kosa ni mwanzo wa kujua. Haya tupatie madini fasta!
 
Back
Top Bottom