Hodi hodi Great thinkers!

MST

Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
17
Reaction score
1
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboz? Naomba mnipokee ili na mimi nikue nipate za kwangu na niweze kuwa Great Thinker, naamini pia hata kwa hatua niliyofikia mimi pia nitaweza kutoa mchango wa kujenga this historic Tanzanian forum na kuendeleza mijadala hasa inayohusu mustakabali wa nchi yetu.
Asanteni! :hand:
 
Karibu sana MST jamvini, muhimu zingatia kanuni na sheria za jf.
 
Karibu sana MST jamvini, muhimu zingatia kanuni na sheria za jf.
Asante. Nitafanya hivyo na kama nitafanya makosa naomba mnirekebishe na kumbukeni kosa si kutenda kosa bali kurudia kosa.
 

Karibu hapa utakua tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…